­
­

Mambo Manne Yaliyochangia Anguko la Shule za Vipaji Katika Matokeo Ya Mtihani wa Kidato cha Nne

Anguko la shule za sekondari za Serikali zikiwamo za vipaji maalumu katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, limedaiwa kusababishwa na walimu kukata tamaa, miundombinu duni na mazingira magumu ya kufundishia na kusomea. Shule za vipaji maalumu, zinazochukua wanafunzi wanaofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, hazimo kwenye orodha ya shule 50 bora, na kati yao ya kwanza inashika nafasi ya...

Continue Reading

  • Share

CCM Yamteua Mtoto wa Celina Kombani Kugombea Ubunge Jimbo la Ulanga

Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ulanga, kimemchagua mtoto wa kwanza wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi), Celina Kombani, Godluck Mtinga kuwania ubunge katika Jimbo la Ulanga Mashariki. Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Mathias Mbogo alisema Mtinga (pichani) aliibuka kidedea kwa kupata kura 731 kati ya 1,029 zilizopigwa na kupendekezwa kuwania nafasi hiyo iliyokuwa inawaniwa na mama yake aliyefariki...

Continue Reading

  • Share

BEN POL AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA MISS TANZANIA NAMBA 2, PART 1

Ben Pol katika pozi kwenye studio za Global TV Online. MUZIKI wa Bongo Fleva unazidi kuchana mawingu kila kunavyokucha, ambapo ukizungumzia wasanii wanaotoa mchango mkubwa katika muziki huo ni vigumu sana katika ‘listi’ yako kumsahau mkali wa RnB, Benard Paul ‘Ben Pol’. Alianza gemu mwaka 2010 baada ya kutoka na kibao cha Nikikupata, baada ya hapo amewika kwa vibao vikali vingi kama vile, Jikubali,...

Continue Reading

  • Share

Popular Posts

Like us on Facebook

Flickr Images