LAANA : HII NDIO VIDEO YA WANAFUNZI WA CHUO WALIONASWA LAIVU WAKIVUNJA AMRI YA SITA CHOONI, HII NI AIBU...!!

Amini usiamini,hili ndio tukio lililotokea wiki iliyopita huko nchini botswana ambapo wanafunzi wawili wa chuo cha muziki nchini humo walijikuta katika maswahibu makubwa baada ya video waliorekodi kwa kutumia

kwa kutumia simu wakati wakivunja amri ya sita katika vyoo vya chuo kuvuja, kisa cha kuvuja kwa video hiyo kilitokana na simu ilikuwa na video hiyo kuibiwa na kisha video hiyo kuwekwa katika mtandao na mwanafunzi ambaye hakuweza kujulikana kiurahisi.

Baada ya simu kuibiwa mmiliki wa simu hiyo aliyetambulika kwa jina la TShwane alianza kuhaha chuoni hapo kwa kubandika matangazo yaliyokuwa yakisomeka hivi "kwa mwanachuo yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa simu hiyo nitampa donge nono"
Tangazo hilo ndilo liliibua mkasa mzima, baada ya mwanafunzi aliyeiba simu hiyo kuipekua na kufanikiwa kuikuta video hiyo iliyoku a inamuonesha Tswane na mwanafunzi mwenzake wa kike ambaye hakuweza kutambulika kiurahisi katika video hiyo wakivunja amri ya sita
ndipo alipoamua kuivujisha kwa kuiweka kwenye mtandao na kisha taarifa ya video hiyo kusambaa chuoni hapo
Previous
Next Post »
Thanks for your comment